Kin'gamuzi changu TBC1 inasumbua, msaada

Kin'gamuzi changu TBC1 inasumbua, msaada

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
13,598
Reaction score
21,813
Kwa mwenye utaalamu na hayo mambo aje PM tafadhali maana hii channel nahisi ndo bora zaidi nchini kwetu. Kuikosa najihisi sina amani kabisa.
 
una matatiso ya msongo wa mawaso weye c bure yaan tiiibiiiiciiii kabichaa.!!!
 
una matatiso ya msongo wa mawaso weye c bure yaan tiiibiiiiciiii kabichaa.!!!

Wanaoiponda tbc wana matatizo yao binafsi... Tbc huwa inarusha habar ambazo wananchi wengi wangependa kuzisikia na ndivyo inayofanya ikubalike karibia nchi nzima
 
Mshukuru Mungu sisi tunatamani ifutike kabisa
 
Haina umuhimu wowote zaidi ya vipindi vya mwaka 47
 
Wenye akili haatupaswi kuchangia kwenye suala la kiuendawazimu.
 
We watu wanahangaika ni jinsi gani ya kuitoa we ishajitoa unahangaika kuirudisha.....
 
Labda anafurahia nembo ya TBC1 maana kama ni habari hakuna.
 
tbc ndio nan?.....


kama unamtaka sana tbc hicho king'amuzi kiweke kwenye beseni then tia maji ya moto
 
Kwa mwenye utaalamu na hayo mambo aje pm tafadhali maana hii chanel nahisi ndo bora zaidi nchini kwetu. Kuikosa najihisi Sina amani kabisa.

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Umepost upuuuzii!!!
 
Watanzania wavivu kuchangamkia fursa kwa kweli.. Yaani toka nitoe hili tangazo Sijaona mtu akijitokeza.
 
Back
Top Bottom