Wakuu huu ni mwezi wa 2 unaisha nashindwa kutumia akaunt yangu fb,mwanzo kabla ya kujifunga,ilikuwa ikilileta picha za marafik zangu nidhibitishe kama nawajua,lakin baada ya muda kila napo log in...
Habari ndugu zangu, naomba msaada ni software gani naweza kuinstall kwenye computer ili niweze kuwa naangalia league ya Uingereza online through my PC?
Natanguliza Shukrani
Tigo wamekamilisha kufunga mitambo yao ya 4G LTE ndani ya mkoa wa Dodoma.
Ushahidi huu hapa;
Hivyo basi nauza modem ya 4G mpya bei ni 85,000 fixed, (Tigo wanauza 100,000 ambazo zimefungiwa na...
Wakuu, heshima kwenu
Hii gari nimeitamani sana na nilikuwa nimefikia hatua ya kuilipia maana invoice tayari wamenitumia. Ni kupitia tradecarview
Katika kupitia kwenye mitandao, kuna maoni tofauti...
HABARI ZA LEO , Ndugu zangu ninaomba msaada simu yangu ya tecno h5 imenigomea baada ya kuiwipe data na cache yaani inawaka alafu kwenye skrini haioneshi kitu ni mwanga tu ndo upo alafu kuna...
Nina Dell laptop latitude E6410, nimeweka window 8.1 , nilikuwa natumia vizuri lakini ghafula imezima display. Nilipoizima na kuiwasha tena, imebadili maandishi na kuanza kuonyesha ya rangi ya...
Niaje wakuu..Salaam kwenu
Nahitaji ac facebook zenye mda kuanzia miez 6..kwa mweye nayo/nazo anitafute tuongee biashara nna kazi nazo sio kwa nia mbaya ni kwa ajili ya kufanya shughuli zangu za...
Ninatumia mtandao wa halotel kwa siku kadhaa sasa lakini kwa siku ya kwanza nlipotumia internet ilikuwa fasta sana ghafla ikapungua na kuwa ndogo sana lakin ipo kwenye 3GH+ nin linaweza kuwa...
Habar zenu wakubwa naomba utatuzi wa y330 ikiwa imewaka inaniletea ujumbe huu.(unfortunately,adobe air has stopped,) ni njia ipi nitumie ili iwe kawaida.
NIFANYEJE ILI HUU UJUMBE UKOME.
Katika simu nilizotumia nimekuwa nikikutana sana na hii screen mirroring... Lakini nimekuwa siifuatiliagi.. Bt leo nilipoona nakaamua ku google then nikaenda hadi you tube.. Bt kuna vitu bado...
Naombeni msaada kwa mwenye ufahamu wa namna ya kuipata JF application kwenye blackberry Q5. Tofauti na Aina zingine za blackberry nilizowahi kutumia, hii simu haina JF app kwenye blackberry world...
Habari,
Nina mpango wa kuagiza simu tajwa Xiaomi/Mi Redmi 1s na baadaye Redmi 2 kwa ajili ya kuuza hapa bongo bamoja na simu nyingine kama Huawei Honor Series, ZTE na ASUS hapo baadaye kwa...
Nimetumia hii simu week mbili sasa...
Honestly sijutii hela yangu..
Ila kwenye matumizi yangu nimebaini vitu kadhaa.. Ningependa kushare then tupeane updates/ufundi/utundu...
The good...
Habari za kutwa wadau, naomba mwenye game la mpira la pes 2012 anipe link ambayo itaniwezesha kupta hilo game. Link nyingi hazina game lenyewe. Natanguliza shukrani za dhati. Chief-Mkwawa na Mwl.RCT
habarini wanajukwaa kuna napenda kufahamishwa kuhusu mozilla add ons. Ni vitu gani vinahitajika ili mtu aweze kudevelop add ons za mozilla kama pia kuna tutorial itakuwa nafuu.
Naomba kujua jinsi ya kubypass untangle web filter.. Nipo porini halafu net ya hapa camp wameifunga hata kuingia whatsapp kwa simu huwezi so na ukizingatia hakuna ata cellphone coverage so yani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.