msaada wana jf my tablet

msaada wana jf my tablet

ivunya

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
2,290
Reaction score
2,231
Tablet yangu inatabia ya kuji format yenyewe mara ya pili inanitokea, inaniuma sana data zangu kufutika na sizipati tena. Kwa anayejuwa kama Kuna program maalumu itakayoweza kunisaidi kurejesha data zangu itakapo ji format tena anisaidia namna ya kuipata.
Natanguliza shukran zenu wakubwa
 
Angalia setting kuna kosa umelifanya bila kujua. Hakuna kujiformat yenyewe, kama huwezi omba msaada kwa mafundi
 
Tablet yangu inatabia ya kuji format yenyewe mara ya pili inanitokea, inaniuma sana data zangu kufutika na sizipati tena. Kwa anayejuwa kama Kuna program maalumu itakayoweza kunisaidi kurejesha data zangu itakapo ji format tena anisaidia namna ya kuipata.
Natanguliza shukran zenu wakubwa

Sasa hivi AKILI zetu zimekaa mno KIUCHAGUZI Mkuu hivyo tuvumiliane kwanza na kwa muda huu tafuta Simu tu ya bei ndogo na tukishamaliza hili wingu ZITO la uchaguzi mafundi tutakuja KUKUTENGENEZEA Simu yako.
 
Rudi kwenye setting na upitie kitu kimoja baada ya kingine mpaka uone hiyo sehemu inayosababisha hiyo tablet ijiformat uirekebishe na maisha yaendelee
 
Nashukuru kwa mchango wenu ngoja nipitie kwenye setting nikague kimoja baada ya kingine.
 
Sasa hivi AKILI zetu zimekaa mno KIUCHAGUZI Mkuu hivyo tuvumiliane kwanza na kwa muda huu tafuta Simu tu ya bei ndogo na tukishamaliza hili wingu ZITO la uchaguzi mafundi tutakuja KUKUTENGENEZEA Simu yako.

Wewe una ufundi gani popoma wewe,zaidi ya kuwalamba wazee wa Lumumba miguu hakuna kingine unachokijua/kiweza.
 
Hio tablet yako sio demo unit? Maana hizo ndo zinajiformat baada ya muda Fulani. Angalia hakuna software ilioandikwa demo unit au retail au jina lolote tatanishi linaloonyesha Ni demo?
 
Back
Top Bottom