MSAADA:-TECNO C8 INILETA UJUMBE don't cover the top screen

MSAADA:-TECNO C8 INILETA UJUMBE don't cover the top screen

Jambo Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
670
Reaction score
203
Wana jamvi nina simu mpya ya TECNO C8 kila nikifunika kioo kwa cover yake baada ya Muda inaleta ujumbe wa '' don't cover top screen,,
Wana jamvi kwa walewataaalam hii inaweza kuwa inasababishwa na nn
MSAADA tafadhalini
 
usifunike screen, hamna tatizo lolote
 
Wana jamvi nina simu mpya ya TECNO C8 kila nikifunika kioo kwa cover yake baada ya Muda inaleta ujumbe wa '' don't cover top screen,,
Wana jamvi kwa walewataaalam hii inaweza kuwa inasababishwa na nn
MSAADA tafadhalini

nenda kwenye setting alafu turn off inadvertently mode
 
By Krama :
nenda kwenye setting alafu turn off inadvertently mode
Nimefanya
 
Nashukuru bado haijaleta ule ujumbe nashukuru kwa kutumia Muda wako
Akhsante
 
Kwa wenye chuki binafsi na tecno hapa watakuja utawasikia tu.
Credit to Krama
 
Last edited by a moderator:
Jambo Tz vipi huo mzigo umeuonaje ukilinganisha na tecno za awali?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom