Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Simu yangu no techno Y3 ...ina tatizo limeanza lina siku tatu...nikifungua data kuperuz Jf...fb au Google....katika screen kunatokea kama tangazo linalosema simu INA virus au simu inaanza kufungua play store automatically ...
Yamekuwa yakitokea matangazo mbalimbali yakinihitaji ni download application mbalimbali...imekuwa kero
Wana jf nisaidieni hili tatizo ....je ni virus?je nifanye nini kusolve?
Yamekuwa yakitokea matangazo mbalimbali yakinihitaji ni download application mbalimbali...imekuwa kero
Wana jf nisaidieni hili tatizo ....je ni virus?je nifanye nini kusolve?