mbisom ramos
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 812
- 397
habari.....
wakuu laptop yangu..niliifanyia disc clean up...kutokana na low space....sasa ina wiki nikiiwasha inaandika QJDPS is compressed nimejaribu hata kupiga window imekataa tatizo itakuwa ni nn!?! naomba msaada kwa anayefaham