Msaada namna ya kuprint document iliyoandaliwa kwa fomati ya .php

Msaada namna ya kuprint document iliyoandaliwa kwa fomati ya .php

Bahati furaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Posts
3,077
Reaction score
1,439
Habari wakuu?
Nimetumiwa ramani ya nyumba lakini imetumwa kwa format ya .php ambayo kila nikijaribu kuiprint inagoma.
Naomba msaada kuelekezwa namna ya kufanya ili niweze kuiprint.

cc: Chief-Mkwawa, Mwl RCT na wengineo.

Ahsanteni.
 
Ifungue na browser yoyote halafu print, shortcut ya kuprint Ni ctrl +p
 
Back
Top Bottom