Alkelokas
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 203
- 104
Habarini zenu wanajukwaa,Mimi ni FUNDI VISIMBUZI baadhi km dstv,zuku,STARTIMES n.k,nmekumbana na changamoto juzi na Jana katka kufunga STARTIMES ya dish yenye decorder nyeusi hizi awali nmewah kufunga yenye decorder nyeupe,sasa nmeshnda kuelewa haya matokeo yana utofauti katka ufungaji?mana nlivoseti dishi hzi nyeupe ina kamata nyeusi umegoma lakni nkiziangalia zpo sawa ndani hadi nje,isipokuwa rangi tu,hata remote znashare,sasa nauliza je hii mbovu ama zinautofauti mana aliyetuuzia anadai zpo tofauti kutega dish akat Mimi naona zipo sawa kwa kila kitu mbona!MSAADA WENU PLEASE