Msaada kwenye Dell Optiplex 380

Msaada kwenye Dell Optiplex 380

Bahati furaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Posts
3,077
Reaction score
1,439
Habarini za asubuhi wajuvi.
Ninaombeni msaada kabla sijafikiria kumuona fundi.

Kitarakilishi(computer) tajwa kina matatizo mawili:

1) Nikiiwasha kawaida haiwaki lakini nikitoa CMOS betri inachukua muda kido kisha inawaka.

2) Nimeiwekea Wireless adaptor, baada ya kuifanyia configuration ina-detect wireless devices lakini haikubali ku-connect. Kitarakilishi hiki kina Windows 7 Pro.

Nifanyeje ili iwe katika hali inayostahili?
 
Unazikumbuka setting zako za bios? Mi ningekimbilia huko kwanza kuangalia kama zipo kama zamani,

Pia kumbuka ulifanya nini kabla tatizo halijaanza au ulieka hio adapter, Toa ulichoeka angalia kama tatizo litaendelea.

Na hio adapter ya wifi ulieka drivers zake?
 
Mkuu Chief-Mkwawa, ni kuwa hii antena nimeijaribu kwenye kitarakilishi kingine Dell Optiplex 7010 inapiga mzigo. Nimeconfigure kwa kutumia cd yake niliyonunulia.

La bios nitalichek although sikumbuki kama nilishabadili setting.
 
La WiFi solved, tatzo lilikuwa antena yenyewe.
 
Back
Top Bottom