Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Simu aina ya SONY, ukifungua playstore inagoma kufunguka kwa 3G ila kwa WIFI inafunguka.Msaada wakuu.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau naombeni msaada kwa wale waatalamu wa simu Nina simu yangu aina ya techno j5 nashanga nikirushiwa video Watsap au nikidownload nikitaka kuplay inanambia can't play this video naombeni msaada...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wadau salamu kwenu, Samahani ninaomba msaada wa tally accounting software ERP 9 au hata below hiyo. AU kama kuna mwenye kujua link ambayo nitaipakua. Natanguliza shukurani zangu kwenu.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Amani kwenu wanajamii.Nimerudi nyumbani nikakuta simu ya mdogo wangu simu yake imeandika weka puk katika simu,sijui amegusa wapi.Naomba mwenye kujua anifahamishe tafadhali maana pia imempa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kuna kipindi nili jarb kuchezezea simu yangu na kubaini kuwa kuna kitu wanakiita rooting!! nikaroot cmu!! nikaona kuna kitu wanakiita custom ROM (unachange OS ya simu hata kuupgrade OS) nikatupi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Naomben msaada kwa yeyote mwenye kujua ni format gan inayoweza kuonyesha video clear kwenye radio ya gari,maana system yangu in support mp4 ya 320×160 pekee,na format zingine ni wma,mov,avi,mpg
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Salamu naombeni msaada kwa yeyote anayefahamu gharama pamoja na jinsi ya kupata gari lenye uwezo kama gari linalotembea na screen kubwa kwenye mikutano ya kampen za magufuli
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, naomba kupata app nzuri ya android ya kufuta hay kuondoa merge contacts tafadhali, na contact zaidi ya 6000 sasa nimebilisha simu Ike kuweka account ya Google Tu contact zangu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam wakuu.. Nahitaji msaada kiundani kujua hiyo kozi tajwa apo juu. Shughuri zake viwandani, je inakua applicable viwanda vyote au baadhi ya viwanda lakini pia management ake inakua vipi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pole na Majukumu najua kuna walio na facebook groups na page kwa ajili ya burudani au hawayatumii kibiasahara. sisi tunanunua hayo magroup kama ifuatvyo. Idadi ya Member Group Page...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu naomba uliza je kuna uwezo wa ku access internet labla ya kazini nikiwa nyumbani. Namaanisha nkafanya configuration katika computer ya ofisini na kuja na ya nyumban fanyia...
0 Reactions
4 Replies
903 Views
Habari zenu wakuu na wadau wa hili jukwaa na wachangiaji wote. Hapo mwanzo, nlikuwa nanunua 'Pro' au 'Full Version' apps toka Play Store bila shida yeyote. Ila sasa hivi karibuni, takribani kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini wataalam. Nauliza ni maduka gani kwa arusha naweza pata screen ya Nokia Lumia 720. Kwa maduka ya arusha sababu simu yangu ilianguka ikapasuka screen yake hivyo nataka badilisha. Naomba...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Wadau naombeni msaada katika simu sumsung note 2 mobile hotspot hafanyi kazi baada ya kuiflash. Imekuwa ikigoma kuconnect katika pc.... imekuwa ikiniletea 'validatition error' nfanyaje hapo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu...!! Nime-type kazi moja hapa sasa kwenye maelezo niliyoyaandika nimeandika na website fulani, baada ya kuiandika imekaa kama link hivi (imekuwa ya blue na underlined kwa mstari wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Je! unataka kufikia watu wengi kwa muda mchache kama jibu ni ndio basi ni PM kwa maelezo zaid
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu kingamuzi cha Azam Tv kinanisumbua haionyeshi chanel zozote ni matangazo yao tu. Kila nikijaribu wananiandikia smart card never paired. Nimewapigia hawapatikani. Msaada jamani.
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Kijana wa kazi za kulisha mifugo kaniibia simu ya wife s5, pesa taslim na mavitu kibao na kakimbilia chanika masikia kuna mtu kamchikua Simu ya wife hatujui imei no ila simu ya huyu kijana ipo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wana jamii forum wenzangu nataka kununua gari ila iwe na cc ndogo na pia dash board yake iwe na muonekano poa bajeti yangu ni kama 9M naombeni mnishauri naweza pata gari gani.asanteni sana
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Mambo vipi wadau, hivi hii unlimited internet ya airtel ipo vizuri na ni unlimited kweli ama ndio unatumia kwa muda kisha inakua slow kama jamaa wale wengine?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…