Wandugu naomba msaada, nimesahau administrator password ya router aina ya Linksys E 900 sasa nifanyaje ili niweze ku long in kwenye hii routet, niliweka mwenyewe ila nimeisahau mwenye kujua naomba...
Nisaidieni simu yangu ya aina ya Samsung Note 2, ni lugha ya kichina katika kuangalia salio au huduma ya Mpesa au tigo pesa au airtel money mwenye kujua ninaomba msaada jinsi ya kuondoa tatizo...
Wakuu habari,
Kichwa hapo juu kinajieleza, natumia Tecno p3 ninajaribu kudownload apps kwenye google inaleta hayo maneno "the application google pray store has stopped unexpectedly please try...
Wadau kwa mara nyingine tena mie mwenzenu sijaona kampuni ya uhakika ya kurecover data hapa bongo. Kama kuna mtu wowote anaifahamu tafadhari naomba anijuze
Jambo wakuu.
Naomba msaada wenu wakuu. Jana nikikuwa nafanya kazi kwenye kilaptop changu DELL lakini cha zamani kidogo. Ghafla kikakata moto. Hakukuwa na power interruption maana kuna vitu...
Wakuu salama jamani? Naomba msaada wenu wa ushauri,nina tablet ya Hp slate 10 HD sasa nilikua natumia line ya voda na ilikua inazo settings za Apn 4 internet vzuri kabisa,sasa tatizo limekuja...
wasalaaam! kwa mara ya tatu memory card ina haribika nikiwa naitumia kwenye simu, ipo hivii!
ya kwanza: nilii weka password sijui ikawaje ikawa haionyeshi kwenye chombo chochote hata nikijaribu...
Naomba mnisaidie jinsi ya kununua domain ya blog yangu kwa kutumia local method yeyote inayowezekana maana sina account ya bank inayoweza kufanya online transaction nataka niwe na ........com...
Wakuu, nina smartphone yangu aina ya fotola nimenunua kwenye promosheni, nimetumia siku tano tu imezima ghafla haijawaka tena mpaka leo nimepeleka kwa mafundi wanadai hawaoni tatizo.
Msaada wadau
Naomben msaada jaman, nina tv aina ya hitach sijaitumia karibu miezi 10 sasa leo hii nomeiunganisha kwenye cable picha inakuja ila haitoi saut zaidi ya kufoka tu nimejaribu kuangalie setting lakin...
Habari zenu wakuu.
Hope mko salama kabisa. Nimekuwa nikitumiwa ujumbe wa tigo mara kwa mara kuhusu internet yao ya 4G wakinitaka niende kwenye customer care centres zao kwa ajili ya huduma hiyo...
Link: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.opengarden.firechat
FireChat ni application ya chat mithili ya WhatsApp au FB Messenger.
Tofauti kubwa ya Firechat ni kwamba inakuruhusu...
Wapendwa namba Zang zimeftika ktk cm yang, je Naomba niulize Kuna sehem naweza ingia ktk cm nikazipata maana ktk sms Hamna, whysap,,, Hamna plz mweny kujua anisaidie
Natumia laptop aina ya toshiba dynabook kadogodogo hivi,imeandikwa designed for microsoft window xp ni kama week sasa nikiiwasha inaandika tfght is compressed,press ctrl +alt +del to restart...
guys anyeweza kuremove icloud na kuondoa ile find my phone na kuunlock cm itumie mitandao yote...pliz niasaidie...naombeni msaada wenu......nina iphone 5s na 6+ apa...