Halotel Huduma

Halotel Huduma

markj

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
1,778
Reaction score
685
Yoyote mwenye kujua vocha za halotel zinapopatikana kwa jiji la dsm naomba atusaidie baadhi ya watu tumekuwa tukijiuliza sana mahala pa kupata vocha.
 
Yoyote mwenye kujua vocha za halotel zinapopatikana kwa jiji la dsm naomba atusaidie baadhi ya watu tumekuwa tukijiuliza sana mahala pa kupata vocha.
Jumla au rejareja
 
Tuma hela kwenye mpesa nikutumie namba za vicha wewe uwe unaingiza tu, nilipo mm zipo za kutosha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom