Msaada kudowngrade S4 GT I9500

Msaada kudowngrade S4 GT I9500

nerilan

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2013
Posts
470
Reaction score
713
Habari yenu wakuu.

Ningependa kwenda moja kwa moja kwenye shida yangu. Nataka kudowngrade S4 yangu tajwa hapo juu kutoka lollipo 5.0.1 irudi kwenye kitkat 4.4.2. Shida kubwa ninayopata ni namna ya kupata official firmware ya 4.4.2 kwa ajili ya simu hii. Region code ya simu ni THR ambayo ni United Arabs Emirates.

Mwenye link ya uhakika au hata hiyo official firmware naomba anisaidie.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom