Wakuu mimi nisiwe na maneno mengi ila naomba kusaidiwa kitu hiki,
Nina server ya ambayo ina Solaris OS na imewekwa Open Office sasa shida yangu mimi nataka ni install Microsoft Office 2007 sasa sijui nafanye ili MS Office 2007 iweze kuwa installed humo
Ntashukuru kwa atakaye weza kunisaidia