Mwana wa Zaituni
Member
- Feb 19, 2013
- 84
- 44
Wadau kuna simu nilinunua tigo samsung J1 mwezi wa 8 mwaka huu ipo poa sana ila last week-end mtandao wa tigo ulipofail hii simu yangu adi leo siwezi kupiga wala kusms.Nikipiga simu inaandika "not registered on network" nimewaulizia tigo mlimani citi pale niliponunua wanasema tatizo ni kwa simu zote za Samsung J1 na wanashugulikia but it almost a week now + hakuna taarifa rasmi kutoka tigo and something lk public apology hivi.....Nawakilisha wadau
