Free application ya ku spy logs za simu za android

Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
3,422
Reaction score
5,597
habari wana jf,
Natafuta app itakayoniwezesha ku spy text Messages,Calls,WhatsApp n.k kwenye simu yenye Android OS.Nimejaribu kuangalia baadhi ya hizi app nyingi ni za kulipia na chache ni free ila sio kwa lifetime maana wanakupa trial ya siku 3-5 then utatakiwa kulipia!
Mwenye kuijua ambayo itanipa free access for lifetime anipe link tafadhali.Kuna mtu yupo under surveillance mission.
Samples zake ni kama flexi spy,spyphone,mspy n.k
 
Mkuu tutajie hizo free za cku 3 had 5 ....wengine tunazitaka
 
Kama wa kwanza kucomment, mtu yeyote anayejua any app inayofanya huyu jamaa anachotaka msimsaidie.
Its my opinion, mambo ya kwenda kuspy mtu jiulize ingekua wewe mtu anaspy on all your information ungejisikiaje?

Kwanza its illegal, huu ni uhalifu kama uhalifu mwingine wa kuiba kitu mali ya mtu, simply stating kwamba wewe na anayekusaidia wote ni wezi.
 
It doesn't matter,i need the app so nipe link kama unayo hayo maswala mengine sio muhimu kwa sasa.
 
Hahhahahahaaha... Mnanichekesha sana, hivi unadhani kumspy mtu ni kirahisi rahisi kama unavyo Dhani. Cha kwanza unaitaji technical skill kubwa kwenye maswala ya hacking, cha pili unahitaji expensive equipment kutap phone calls na kudecrypt data from a smartphone. Usidhani tu utainstall application from nowhere naupate uwezo huo hii sio movie kijana.
 
Then kuna kitu unasahau, data zote unazomspy mtu developer wa app inayospy anaziona. Hivyo huwenda kuna mtu sehemu fulani anamjua gf wako kuliko wewe, ana pic nyingi za gf wako kuliko wewe na unamuweka huyo mtu unaemspy kwenye hatari ya data zake kuuzwa kwenye makampuni ya matangazo
 
Back
Top Bottom