Nahisi wamehack account yangu ya facebook

Nahisi wamehack account yangu ya facebook

Mikam

Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
15
Reaction score
1
Wajuzi wa mambo nisaidieni hili, Nimeingia facebook sioni maandishi naona picha tuu hata nikijaribu kuandika chochote vinatokea vibox sivielewi! Ni nini hiki?
 
Wewe utakua umedisable java script kwenye mashine yako. Tumia mashine ya mtu mwingine uone.
 
Nashukuru wadau kwa ushiriki wenu. Nimefanikisha.
 
Oya thinkers nina tatizo la account yangu ya fb imekuwa disabled nashindwa kutatua tatizo hilo.
 
Back
Top Bottom