Mambaenock
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 427
- 107
Naomba kujua ni waya gani unaotumika kuunganisha pc na king'amuzi na unaitwaje?.
nataka kuunganisha king'muzi cha startimes.
nataka kuunganisha king'muzi cha startimes.
Naomba kujua ni waya gani unaotumika kuunganisha pc na king'amuzi na unaitwaje?.
nataka kuunganisha king'muzi cha startimes.
Kuna HDMI cable au USB cable lengo lako ni lipi? Je hicho king'amuzi kina hizo ports.
nahisi umempeleka chaka,huyu hataki kuunganisha tv kwenye pc bal anataka kutumia kingamuz kwenye pc,nenda k/koo ununue tv tuner card kazi kwishaConnect a laptop or PC to TV | HDMI, VGA, Wireless - How-To - PC Advisor
Connect a laptop or PC to TV | HDMI, VGA, Wireless - How-To - PC Advisor