BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,839
Nilikuwa natumia Window 10 kwenye PC yangu lakini leo nimeweka Window 7. Hivyo PC ipo na window zote mbili
Files zangu zote zipo kwenye Window 10, sasa nikitaka laptop itumie Window 7 haionyeshi file hata moja la kwenye Window 10 ila nikiswitch Window 10 ipo na files zote.
Nifanye nini ili files za kwenye Window 10 zionekane hata kwenye Window 7.? Naombeni mnisaidie wakuu nina shida sana