Maelezo tafadhali kwa anayejua

Maelezo tafadhali kwa anayejua

Lumbi9

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
8,750
Reaction score
12,471
Sina tatizo ila nataka kujifunza tu, hivi ni kwanini ukipiga simu ile H+ pale juu huwa inaondoka na ukikata inarudi tena, kuna uhusiano gani hapo
 
So technical question. Am passionately curious to know the answers
 
Sina tatizo ila nataka kujifunza tu, hivi ni kwanini ukipiga simu ile H+ pale juu huwa inaondoka na ukikata inarudi tena, kuna uhusiano gani hapo

Hiyo inafanywa tu na OS yenyewe na it has something to do na operator, inategemea call yako inapitia kwenye band gani, ile H+ inasepa coz ukiwa una-call unatumia GSM peke yake, kwa OS ina-save battery coz huitaji data wakati unaongea unless simu yako inaruhusu kuminimize na kuendelea na shughuli zako then maybe inaweza washwa. Ila kwa Operator muda mwingine ni kwa sababu wanatumia the same band kupitishia internet na simu kwa hiyo ukipiga simu wanablock kitu kingine chochote hadi utakapomaliza.
 
Sina tatizo ila nataka kujifunza tu, hivi ni kwanini ukipiga simu ile H+ pale juu huwa inaondoka na ukikata inarudi tena, kuna uhusiano gani hapo

Ni automatic feature ya ku disconnect data na ku allow call thereafter inajirudisha.
 
Unapopiga simu ya kawaida data lazima ikate ili kuruhusu simu kwenda. Labda ukipiga simu inayohitaji data kama skype ndiyo haikati.
 
Back
Top Bottom