Vibaka waiba Laptop (Hewlett-Packard HP 2000 Notebook PC: Serial #: 6CB24539QC)

Vibaka waiba Laptop (Hewlett-Packard HP 2000 Notebook PC: Serial #: 6CB24539QC)

Rapture Man

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
439
Reaction score
145
Hello GTs,

Vibaka wameiba laptop HP 2000 Notebook PC: Serial #: 6CB24539QC; Tukio limeripotiwa polisi kwa namba ifuatayo: TGT/RB/2792/2015;
Laptop in PASSWWORD LOCK;
Kama ukikutana nayo tafadhali usisite kutoa taarifa (simu au sms) kwa namba 0674 879 770 au 0714 568 089.

Shukrani ya shilingi 100,000 itatolewa kwa atakayewezesha kupatikana kwa laptop hiyo.

Asante sana.
 
Wezi wanakera sana. Pole mkuu nakuombea kwa Mungu uipate laptop yako salama.
 
Niwaroge hao vibaka? Tuna hela kidogo tu ya kufanyia dawa.
 
Umeibiwa wapi.unaweza kurudishiwa laptop yako lakini andaa kuinunua upya. Umeibiwa ubungo bus terminal au wapi? Hujasikia watu wanaibiwa vifaa vya gari wanaenda kuuziwa kidogo chekundu? Mtaa gani mkuu umepigwa
 
Ije tu. Nitainunua upya. Hamna namna.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom