MOLAM
Senior Member
- Oct 12, 2013
- 141
- 20
wanajamvi,wataalam wa android nahitaji msaada wenu, mimi baada ya ku-root simu yangu ya huawei y300, nili unstall System app kimakosa, napia nikifungua simu yangu haionyeshi logo ya huawei kama ilivyo mwanzo kuna maneno ya kiarabu ndo yana onekana,, msaada please