Aman Ng'oma
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 968
- 542
Naombeni msaada mwenye ujuzi, computer yangu ni HP ProBook 4520 ina miaka 4 sasa toka nilipoinunua ila hivi karibuni imeanza mtindo pale ninapofanya full scan hasa ikifikia asilimia 18 inazima lkn kabla ya kuzima inatoa muungurumo baadae ghafla tu inazima. naomba msaada wenu wazoefu na wajuzi wa computer mnisaidie hali hii inasabishwa na nini.
Kuna mtu alinishauri nibadilishe window kutoka 7 HADI 8 LAKINI bado tatizo halijakwisha.
Nakosa raha kabisa na computor yangu.
Asanteni
Kuna mtu alinishauri nibadilishe window kutoka 7 HADI 8 LAKINI bado tatizo halijakwisha.
Nakosa raha kabisa na computor yangu.
Asanteni