Nahitaji kushusha gta 5 kwenye simu yangu

Nahitaji kushusha gta 5 kwenye simu yangu

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,649
Reaction score
3,817
Wadau naihitaji hii game kwenye simu yangu ss nimepita pita huko torrent ht silioni,,mwenye direct link ya kulidownload bila kulipia anipatie
cc CHIEF MKWAWA
 
Last edited by a moderator:
huwezi maybe baada ya miaka 5 au 10 ndio simu zitaweza cheza gta v.

gta iv lenyewe bado.
 
Mkuu hiyoo game ya GtA unaweza ku Download kwenye simu na ika cheza fresh.... Kama V na IV Bado vipi kuhusu I, II & III inaweza kukubali au..?
 
huwezi maybe baada ya miaka 5 au 10 ndio simu zitaweza cheza gta v.

gta iv lenyewe bado.

mbn kwenye net wanasema washa launch android version na youtube kuna clips za jamaa anacheza kwnye galaxy note na htc 1?
 
Mkuu hiyoo game ya GtA unaweza ku Download kwenye simu na ika cheza fresh.... Kama V na IV Bado vipi kuhusu I, II & III inaweza kukubali au..?

1 mpk 3 ztakua znakubali mana san andreas inakubali
 
Jaman mm nataka la mpira lile la PES 2015 au 14 kwenye laptop napata wap?
 
mbn kwenye net wanasema washa launch android version na youtube kuna clips za jamaa anacheza kwnye galaxy note na htc 1?

either ni video fake au anastream toka desktop.

game lenyewe linahitaji zaidi ya gb 60 ya free space na pia i3 inastrugle kulirun ijekuwa processor za simu?
 
either ni video fake au anastream toka desktop.

game lenyewe linahitaji zaidi ya gb 60 ya free space na pia i3 inastrugle kulirun ijekuwa processor za simu?

yaah itakua hvyo bac mana na mm nliona kwa pc lina gb 60 ss kwe cm cjui itakuaje
 
Mimi gta sa lina 2gb 45 lipo vzr sana hili.gta 3 linakubali pia sifahamu hizo zingine
 
Attachments

  • 1448853276214.jpg
    1448853276214.jpg
    35.5 KB · Views: 151
Back
Top Bottom