Don't think of that satellite for FTA it is all over
Sure 906 is available with sports, news and Atlantic as new edition
Nyingi ya satellite za gps na mawasiliano ya tv huruka umbali wa km 36000 toka uso wa dunia. Satellite hizi zina ukomo wa miaka 12 tu. baada ya hapo hupoteza mwelekeo. Nyingine hulipuka na kusambalatika angani.
Uongo mweupe.
Kwa historia satellite ikipoteza contact nd not recovered within 30 min then it's for good hivo basi Amos haipo tena ndo maana wamiliki wake wafaransa wanategemea kuzindua Amos 6 mwanzoni 2016 na tv nyingine za kinigeria zilizokuwa zinarusha matangazo yao kupitia amos 5 wameanza kuhamia ses 5
Eurocom ni ya Ulaya, lakini AMOS zote zinaendeshwa na Spacecom ya Israel. Iliwekwa into orbit Dec 2011