Naomba elimu juu ya 'Personal Message'

HORSE POWER

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
2,072
1,389
Habari wanaJF,

Ndugu zangu naomba nipate elimu kutoka kwenu kuhusu namna ya kusoma 'Personal Message'.Nikifungua email address yangu, nakuta jamaa au marafiki yangu ananiambia kwamba amenitumia personal message,l akini namna ya kuaccess ili kuisoma inakua tabu kwangu.

Naomba elimu tafadhali, asiyeuliza hana ajifunzalo.

Mungu awabariki.
 
Ukifunfua browser yako juu kbs utaona kwenye menu neno 'notifications' kimeandikwa kwa rangi tofauti hapo click utaona msg zako. Kwangu huonesha rangi y njano. Au eaweza ona 'new msg' kwa rangi nyekundu. Click tu. Pole!""
 
Shukrani mkuu! Hii process kwenye simu mfano zile za NOKIA ASHA inawezekana?
 
Yaani ulivyojibu kwa upole (kwa mtazamo wangu), mwishoni hapo ukamalizia na neno 'pole', uwezi amini nimevutiwa sana, yaani nilivuta picha kama vile unaongea naye LIVE aisee tena kwa upole wa hali ya juu. Sorry lakini, kama ni jinsia ya kike, imekufaa sana kuwa hivyo, kama ni jinsia kama yangu ya kiume, NAOMBA uniwie radhi kwa kukusifia hivyo.

Ahsante!

Ukifunfua browser yako juu kbs utaona kwenye menu neno 'notifications' kimeandikwa kwa rangi tofauti hapo click utaona msg zako. Kwangu huonesha rangi y njano. Au eaweza ona 'new msg' kwa rangi nyekundu. Click tu. Pole!""
 
kama unatumia simu. ukiwa home tafta neno setting ukiingia hapo utakuta private message ukiingia hapo utaiona.. utakuta new msg. inbox n.k.. af PM ni private msg na sio personal msg
 
Natumai umeshatatua tatizo lako mkuu, kama hujaweza unaweza kunipa password yako nikusaidie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom