Naomba msaada iphone yangu haikubali huduma yoyote mfano kuangalia salio.. kujiunga kifurushi.. mpesa.. tigo pesa.. na nyingne zote znazoishia na # ila inakua inapiga km simu ya kawaida Iphone 4s.
Nina ipad mini.... niliweka security code sasa kuna mtu alijaribu kufungua akashindwa na ikajilock. Sasa inaniambia iPad is disabled, connect to iTunes...... msaada kwa anaejua njia za kuifungua hii..

inatumia gevey (transponder) maana ni network locked? kama ndio ijail break kisha ingia cydia weka hii repo. Bovor Phone Service ikisha install tafta ussd fix for ios 8xx then install kisha restart
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.