Hdmi

Hdmi

Pangah2011

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2012
Posts
260
Reaction score
218
Mfano kwenye king'amuzi unatumia cable ya hdmi na laptop pia ina option ya hiyo cable je naweza TV au kuna matumizi tofauti ya hiyo sehemu kwenye laptop?
Mwenye kujua anijuze
 
laptop hdmi yake imeekwa kama output na king'amuzi pia ni hivyo hivyo.

unatakiwa uwe na monitor/tv yenye hdmi ili kuweza kutumia king'amuzi kwa hdmi
 
laptop hdmi yake imeekwa kama output na king'amuzi pia ni hivyo hivyo.

unatakiwa uwe na monitor/tv yenye hdmi ili kuweza kutumia king'amuzi kwa hdmi

Hapo naona mission impossible 🙅 nlifikiri ni multipurpose.
Thanks indeed 👍
I think inabidi niwe na TV tuner
 
Hapo naona mission impossible 🙅 nlifikiri ni multipurpose.
Thanks indeed 👍
I think inabidi niwe na TV tuner

zipo laptop ambazo zina hdmi in inayokubali kufanya display yake kama monitor/tv

ila ni chache sana jaribu tu bahati yako ila usiweke matumaini
 
Back
Top Bottom