Habari wanajamvi naomba msaada iphone yangu haikubali huduma yoyote mfano kuangalia salio.. kujiunga kifurushi.. mpesa.. tigo pesa.. na nyingne zote znazoishia na # ila inakua inapiga km simu ya kawaida..
Iphone 4s
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.