Nawezaje kutoa Triangle Trail Ads

koo

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
258
67
Heshima mbele Jamani naomba msaada crome yangu inasumbua kila page ninayosumbua inajaa hizi Triangle trial ads ambazo zinanifanya nishindwe fanya kazi kwa haraka naombeni msaada wa kuziondoa.
 
Heshima mbele Jamani naomba msaada crome yangu inasumbua kila page ninayosumbua inajaa hizi Triangle trial ads ambazo zinanifanya nishindwe fanya kazi kwa haraka naombeni msaada wa kuziondoa

kwenye simu au PC?
 
Back
Top Bottom