I am just curious leo, najua bongo ni sehemu ambayo kusikia neno tech startups ni mara moja moja sana tena kila baada ya miaka kadhaa which is shameful sababu bado kuna matatizo mengi Tanzania...
Wazima humu?
Nilikua na simu aina ya tecno, nimeitumia baada ya muda ikaanza kuleta manotification mengi mara battery sijui imekuaje ni update niki click update inanipeleka kwenye play store ni...
Ni tecno p5
nikiiwasha inaonesha ujumbe
"phone memory full. Application has been stopped.please free the space"
kabla haujafanya chochote inajizima yenyewe
nisaidien wakuu shida ni nn
Hello Dear JF User,
My Name is Wilson Jacob, I start this topic so that we can share things that will help to bring high technology in Africa.
I have a Project of Building a Social network which...
Pata website kwa bei poa kuanzia 280,000Tsh na kuendelea kutegemea na aina ya website Contact: 0653573232 Email: info@gobongotech.com Website:GO BONGO TECH Karibu sana
Habari wana jf nimenunua hii gari. Sijui ushamba au vipi sioni kabisa sehemu ya kuweka sehemu ya kuweza kuweka usb plugin. Niliwahi kuwa na forester huko nyuma ilikuwa iko wazi tu. Naomba msaada wenu.
Habari wanajamvi?
Naomba msaada simu yangu tajwa hapo juu imekuwa na tatizo la kujiwasha programu ya headset nashindwa kuelewa sijui ni tatizo gani?
Nimejaribu kuwapelekea baadhi ya...
Hello JF Tech
Mi huwa Natumia Mara Nyingi Uhuru Internet bila Kikomo.. But After Some MBs huwa Speed Inashuka. ingaw Siyo sana But Inashuka Tofauti na Mwanzo..
Sasa Nataka Kununua Kifurushi...
Hili ni jambo ambalo limekuwa likiumiza vichwa watu weng sana. kuna wadu kadhaa wameweza kuelezea hilo kwenye decoder ya AZAM lakini upande wa DSTV mmewasahu kabisa wadau. jinsi gani wanaweza pata...
Msaada jamani naomba kupata application ya kubadili song mid kwenda kwenye mp3.
Kuna moja nimepata but ni trial version kwa anayejua anisaidie.
Asanteni.
Naomba msaada, nataka kununua power bank kesho, ila naskia feki ni nyingi kuliko genuine. Mi siwezi kutambua genuine na feki, je nitafahamuje jamani kuwa hii ndio genuine at least kwa kutumia...
http://allafrica.com/stories/201511300746.html
Amesema kampuni za simu zitaendelea kuungana na kununuana, hii ni baada ya Tigo kununua Zantel na Vodacom kuinunua Shared Networks Tanzania...
Habari wakuu, simu yangu inatatizo la inastack halafu screen inakua na mwanga wakijani, baada ya mda inakua black mpaka betri iishe ndo inawaka tena kawaida...tatizo itakua nn msaada tafadhali...
wanajamvi,wataalam wa android nahitaji msaada wenu, mimi baada ya ku-root simu yangu ya huawei y300, nili unstall System app kimakosa, napia nikifungua simu yangu haionyeshi logo ya huawei kama...
Wakuu nataka kununua simu iphone kupitia mtandao wa ebay, lakin naona simu nyingi wameandika at&t, t-mobile, verizon,nk je nini maana hizo mambo? Zinaongeza au kupunguza nini katika simu? Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.