Msaada: Simu yangu imezima ghafla

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,072
1,697
Wadau nina simu yangu aina ya ZTE nilitumiwa na bro toka Sweden, sasa jana usiku niliiweka kwenye chaji ikiwa ON, kwa bahati mbaya nimeamka asubuhi nikaikuta imezima kabisa, nikajaribu kuiwasha imekataa mpaka hivi sasa, hivyo kwa mwenye uelewa juu ya hili tatizo naomba anifahamishe jaman ili hata ninapoipeleka kwa fundi niwe na picha kabisa kuwa tatizo ni kitu fulani, asubuhi nilipoichukua ilikuwa ya moto kupita kiasi! Chief Mkwawa, msaada tafadhali
 
hapo hakuna simu tena, mwambie bro akitumie nyingine halafu aichaji kabisa huko huko sweden inawezekana zitakuwa na allergy na umeme wa tz...
 
ime collapse hiyo...nenda kwa fundi akaiflash afu ata install program upya ...ila all your important and none important issues will be dumped away....pole
 
Back
Top Bottom