Bado hakuna free unlock ya ZTE K3772-Z ya Voda?

Bado hakuna free unlock ya ZTE K3772-Z ya Voda?

Paul S.S

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2009
Posts
6,411
Reaction score
3,280
Wadau ni mwaka sasa bado wajuvi hawajapata utatuzi wa kufungua hii modem ya Voda zte k3772-z?
Nawasiliaha
 
Hiyo bado mkuu..solution iliyopo ni ile ya kulipia dc unlocker.
 
Ndoa ya ki-kristo hiyo

Icera chipset

Ingekua zile Vodafone za kawaida unabadilisha tu dashboard
 
inawezekana mimi nimezi unlock mara nyingi sana kama una kichwa chepesi ukielekezwa ni pm.
 
inawezekana mimi nimezi unlock mara nyingi sana kama una kichwa chepesi ukielekezwa ni pm.

Mbona wakina gkiwango Mwl.RCT Kimox Kimokole waliweka trick humu za ku unlock modem bila kujali watu wana vichwa vyepesi au vigumu na wala hawakutaka kufwata PM

Its time na wewe tuku mention kama waasisi wa ku unlock modem hapa JF,hivo andaa tutorial afu tuwekee hapa
 
Last edited by a moderator:
mimi ndo nimenunua leo sasa itakula kwangu. najuta
 
Back
Top Bottom