Msaada wadau juu ya Mozilla Firefox

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,288
2,000
Kuna kitu kipo katika hii browser katika homepage yaani kila nikikitoa na kuweka Google yenyewe inarudi haraka na nimefanya kila njia sasa nimejitokeza hadharani kuonesha Udhaifu wangu Hiyo web inayoangilia Homepage ni istartpageing Nimejitahidi kuitoa na Ku unstall lakini haitoki na Kuna nyingine hapa katika hidden icon inaitwa Rocket tab zinaninyima usingizi.

Naombeni Msaada majungu na Kejeli sivitaki.
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,154
2,000
hio inaitwa browser hijacker mtu anakuwa anateka browser yako na kufanya mambo anayotaka yeye kuna njia nyingi za kutoa

-angalia addons na extension za firefox kama kuna suspicious file litoe

-nenda kwenye list ya program ya computer yako angalia kama yupo huko mtoe

- jaribu kuiformat firefox

-jaribu kuitoa firefox then irudishe

-jaribu kueka software za kutoa malware kama malware bytes.
 
Top Bottom