Ijue "orbot" anonymizing application inayokuficha kwenye mtandao

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Kwanza kabisa ip address ni namba ambazo zinaandikishwa kwa kila kifaa (kama simu/laptop/printer) ambacho kipo kwenye network (kama voda, tigo, local lan, e.t.c), kwa hivyo ip address yako ikijulikana kwenye mtandao ni rahisi kujulikana eneo ulipo na pia ni rahisi kujua unafanya nini katika internet.

Orbot kwa watumiaji wa smartphone za android
Hii ni application kwa platform ya android inafanya kazi kama tor ya kwenye pc, app hii imetengenezwaa kuhimiza uhuru na usiri wa hali ya juu pindi mtu atumiapo internet, hii app inasaidia kuficha ip address yako ya kweli

Sehemu ya kudownload: playstore
 
sometimes shida unaweza connect then ukakuta hata data hazitembei..niliwahi experiance kweny voda hii kitu.
 
Back
Top Bottom