Habarini JF membaz!
Kama kichwa cha habari tajwa hapo juu nawezaje simujanja yangu kuilazimisha kuwa mfumo wa 2G,3G na 4G? na kwa simujanja yoyote ile?
PEN-DOWN.
Nipo na king'amuzi cha AZAM TV, lakini shida ipo mvua ikianza kunyesha hata kama mvua ni ndogo inakata, inakuwa haionyeshi, hata kama mawingu yakitanda sana inakata kuonyesha, na kila fundi...
DNA test to tell you how long you'll live set to go on sale for £435 by the end of the year.
Medical researchers say they may be able to read someone's 'biological age' by the length of...
Salaam,
nimefanya kunfiguration manually kwa kujaza sehem zifuatazo kwenye pc lakini inagoma....
1.Access point......
2.Username......
3.Password......
4.Additional initialisation...
Habari wataalamu, juzi kati nimekutana na mjanja zaidi yangu kaniuzia simu ya kichina. Mwanzo niliikagua kwa haraka haraka nikaona iko sawa, na android version 4.1 ila ukiicheki inaonyesha 5.1...
Timu ya wanasayansi nchini Marekani wamefanikiwa kutengeneza kimiminika kitakachokuwa kikiwekwa kwenye uke wa mwanamke ili kuzuia ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa.Wanasayansi katika chuo kikuu...
Nilipewa mwaliko bana wa kuhudhuria tukio maalamu la kulounge 4g ndani ya dodoma tukio lililofanyika Molena Hotel, nimefurahi kwa kufanya tukio ili hivyo kuanzia kesho kama mteja wa tigo fika...
wanna jf habari za usiku huu
simu yangu ni techno p5 na ina tatizo tajwa hapo juu haionyeshi wala kuplay video kwa picha au video nazotumiwa kupitia whatsup ,blue tooth etc
naomba msaada kwa...
hello wana jamvi,
Mimi ni muhitimu wa shahada ya Computer Engineering. Natafuta kazi kwenye field hiyo.
Nna ujuzi na uzoefu katika maeneo ya programming(VB.Net, java), website development, web...
habari wanajf,samahani kuna ukweli wowote kuhusu hii software inayoitwa SOFTBOX TANZANIA iliyogunduliwa na mtanzania mwenzetu anayeitwa WILLIAM BRAXTON,je kwa mliojaribu kutest inafanya kazi vizuri?
Naomba kujua wanajamvi ivi kuna application hoyote inaweza kiwekwa kwenye simu ya android ikasaidia simu inapopotea au kuibiwa niweze kuipata hata baada ya huyo mtu kufanya factory/hard reset??
Habari zenu wakuu
Leo nimependaa kushare tatizo hili linalosumbua ili kupata solution na kufahamu kwenu nyie wenzangu inakuajee
Iko hivi
Kwa siku za hivii karibunii imetokea tatizo moja...
Jamaan kuna ujumbe unakuja kwenye computer yangu. Ikitokea nikaupgrade kulingana huu ujumbe si inaweza kuja kuharibu computer yangu?
Microsoft recommends upgrading to windows 10
It's fast...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.