Nini tofauti wa Teknolojia ya 4G na 3G?

Nini tofauti wa Teknolojia ya 4G na 3G?

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
29,630
Reaction score
47,080
Wakuu, kuna tofauti gani kati ya 4G na 3G?. Nimeenda kwa watoa huduma hiyo hapa mkoani kwangu wakaniambia kwa hapa bado hawajafunga mtambo wake na hata wakifunga simu yangu TECNO H6 haiwezi sapot 4G itaishia 3D.Je,ni simu zipi zina uwezo kusapoti 4G?
 
tofauti ya 3g na 4g ipo sana kwenye speed na latency.

download speed
kwenye 3g hspa ya kawaida inakwenda hadi 7.2mbps na hspa inakwenda hadi 42mbps

kwenye 4g lte ya kawaida inakwenda hadi 150mbps na 4g lte advance inakwenda hadi 300mbps

hizi ni theory tu, real world speed inabidi upime mwenyewe.

upload speed
3g inaweza kwenda hadi 22mbps na 4g hadi 150mbps. kwenye real world ni ngumu kupata angalau 5mbps ya 3g kwenye upload spees. hivyo wale developers na watu wanao upload vitu sana kama youtube 4g inawahusu zaidi

latency/ping

pia 4g ina latency kubwa compare na 3g.

kuhusu simu zenye 4g nyingi zinatumia chip za snapdragon na simu za bei rahisi zenye 4g tafuta zinazotumia snapdragon 210 au 410 kama vile lumia 550, huawei y550, moto e lte, galaxy core prime etc
 
Hakuna mtandao wa simu Tanzania unaotumia internet ya 4G. Tigo wanajinasibu wana 3.75G pekee hafu bado internet yao inasumbua bora hata ya Vodacom wanajitahidi katika internet.
 
hapana ni 4g,

kama ingekua ni 3g

1. simu zote zingekubali isingekuwa na haja uwe na simu ya 4g ili utumie
2. ukiwa na simu ya 4g inaandika kabisa lte. dont tell me wamekula njama na makampuni ya simu.
3. speed yake ni kubwa around 16mbps hadi 24mbps kutegemea na maeneo inaweza ongezeka zaidi.

pia kama nilivyoelezea hapo juu faida ya 4g ni latency na upload speed pia

pia nimeshatumia smile na smart wana 4g pia
 
Manufacture wa Simu wanatoa tu kwani wao wanaendana na soko la technology duniani Europe wanazungumzia 5-7G sisi bado tuba 3G naona kama Makampuni ya simu yanachelewa sana kuinovate technology
 
4G 4th Generation
3G 3rd Generation
2G 2nd Generation

Kama ulikuwa unajua tofauti ya 3G na 2G basi hata tofauti ya 3G na 4G hautoshindwa.

Kwa kifupi ni kwamba kadri wanavyoongeza generation basi Kuna features zinaongezwa ndio maana wakati wa 2G Kulikuwa hakuna video calls lakini kwa 3G ina support kwa sababu ya speed yake ni kubwa than 2G...Therefore 4G ina speed kubwa kuliko 3G na ina support features nyingi.
 
Manufacture wa Simu wanatoa tu kwani wao wanaendana na soko la technology duniani Europe wanazungumzia 5-7G sisi bado tuba 3G naona kama Makampuni ya simu yanachelewa sana kuinovate technology

Japan wanatumia 5G watu wachache sana ndio wanatumia 4G Ila 3G washai phase out maana ni very very old technology.
 
Hakuna mtandao wa simu Tanzania unaotumia internet ya 4G. Tigo wanajinasibu wana 3.75G pekee hafu bado internet yao inasumbua bora hata ya Vodacom wanajitahidi katika internet.

Mkuu tigo wanayo 4g mie arusha nakamata na sony experia z3 na iko faster balaa wako dar, moro, Dodoma pia usidanganye watu
 
Manufacture wa Simu wanatoa tu kwani wao wanaendana na soko la technology duniani Europe wanazungumzia 5-7G sisi bado tuba 3G naona kama Makampuni ya simu yanachelewa sana kuinovate technology

hapana 5g bado sanaa maybe mpaka 2020 huko au zaidi. ki mobile data Tanzania tupo advanced sana kushinda nchi nyingi duniani kama hujui. Tuna mitandao kama halotel unapata double digit mbps vijijini, even maeneo kama marekani hawana luxury kama hii, tuna mitandao kama smart na internet za bei rahisi nje ya dar, tuna mitandao kama Tigo mpaka sasa wana 4g mikoa 7 (center za mikoa).
 
Japan wanatumia 5G watu wachache sana ndio wanatumia 4G Ila 3G washai phase out maana ni very very old technology.

5g bado sana, ikija mapema ni 2020. na pia 4g ni expensive si watu wote wanaimudu watu wengi bado wanatumia 3g
 
Sasa mbona TiGo wametoa hata vifurushi vya kupiga simu kwa upande wa 4G.Ninachojua 4G ni upande wa Internet peke yake.Vipi kuhusu voice bundle za 4G zina tofauti gani na za kawaida.
 
Mkuu tigo wanayo 4g mie arusha nakamata na sony experia z3 na iko faster balaa wako dar, moro, Dodoma pia usidanganye watu

Moshi mjini wanafanya majaribio and then maeneo mengine,hawa ni tiGo.
 
Sasa mbona TiGo wametoa hata vifurushi vya kupiga simu kwa upande wa 4G.Ninachojua 4G ni upande wa Internet peke yake.Vipi kuhusu voice bundle za 4G zina tofauti gani na za kawaida.

sina uhakika na 4g ila kwenye 2g na 3g kuna utofauti mkubwa.

mfano kwa tigo nikibonyeza *148*00# kwa 2g itafunguka slow ila kwa 3g itafunguka very fast.

pia 4g ina feature nyengine kama hd voice ila sidhani kama tigo wanasuport, ukimpigia mtu sauti inatoka kwa quality kubwa compare na 3g au 2g.

pia kuna kitu kinaitwa rich communication suite kipo 4g hii ni kisasi cha sms kwa app kama whatsapp na skype na fb. kuna thread nitaiandika kuhusu hiki kitu maana ni kipana zaidi. ila kiufupi miaka ijayo na 4g utapiga video call, kutuma sms na internet na mambo mengi kupitia hii RCS bila msaada wa app kama whatsapp

update
hio kupiga simu kwa 4g inaitwa VO-LTE au voice over lte, kujua kama unayo kwenye mtandao jaribu kupiga simu huku unatumia internet. kama internet itakata then huna ila kama haitakata unayo na ukijiunga kifurushi cha kupiga cha lte then kina faida.
 
Japan wanatumia 5G watu wachache sana ndio wanatumia 4G Ila 3G washai phase out maana ni very very old technology.

5G bado ipo labaratory wanafanya testing itakua na speed mara 60 ya 3G..... Mwaka 2020 watafanya jaribio la kwanza..

Huwezi kuphase out 2G wala 3G hata technologia ikue vipi maana ndio cheapest kwenye call....
 
update
hio kupiga simu kwa 4g inaitwa VO-LTE au voice over lte, kujua kama unayo kwenye mtandao jaribu kupiga simu huku unatumia internet. kama internet itakata then huna ila kama haitakata unayo na ukijiunga kifurushi cha kupiga cha lte then kina faida.

Natumia 4G kwenye simu yangu... Sometimes na make call while nimevaa earphones lakini Internet naendelea kusurf kama kawaida.... Leo nime mcall mtu nikawa namsomea kitu kwenye Internet huku niko oncall... Na Internet haikukata...
 
hapana 5g bado sanaa maybe mpaka 2020 huko au zaidi. ki mobile data Tanzania tupo advanced sana kushinda nchi nyingi duniani kama hujui. Tuna mitandao kama halotel unapata double digit mbps vijijini, even maeneo kama marekani hawana luxury kama hii, tuna mitandao kama smart na internet za bei rahisi nje ya dar, tuna mitandao kama Tigo mpaka sasa wana 4g mikoa 7 (center za mikoa).

Nipo Japan natumia 5G labda ni test haijakuwa official launched.
 
5G bado ipo labaratory wanafanya testing itakua na speed mara 60 ya 3G..... Mwaka 2020 watafanya jaribio la kwanza..

Huwezi kuphase out 2G wala 3G hata technologia ikue vipi maana ndio cheapest kwenye call....

Mbona 1G hakuna? just matter of time watazifuta tu,mbona CDMA ipo mbioni kufutwa?
 
Back
Top Bottom