Memory bora

Memory bora

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
29,175
Reaction score
46,132
Wakuu,nina simu ambayo ina uwezo wa kusapot 32GB,sasa nataka kununua angalau ya 4GB, 8GB,16GB hadi 32GB.Nisaidieni ni brand ipi ni bora,nisipate feki nikapoteza fedha bila faida,niambieni na bei zake wakuu.
 
Nimejaribu kutumia GALACTICA 2GB ni mwaka sasa nahifadhi na kufuta na bado naitumia,sasa nataka kupata 32GB.

mbona unarudi rudia kujibu? ingia hio link soma na comments zake majibu yote yapo humo
 
mbona unarudi rudia kujibu? ingia hio link soma na comments zake majibu yote yapo humo

Kwa kweli hata mimi naona nimerudiarudia kujibu ili hali nimejibu mara moja tu,hata hivyo nakuelewa mkuu.
 
Back
Top Bottom