adreno 302 ndio gpu yake, haina 4g, cpu ndogo cortex a7,
compare na y550 halafu utaona ni simu ya kawaida kabisa. kwa bei hio huawei y550 ni simu nzuri zaidi
Mkuu uzuri wa 550 labda 4g na cpu lakini screen ndogo laini moja pia, actually kuna vitu zinazidiana.... Kwa upande wangu kwa sasa sina haja ya 4g maana 3g inakizi mahitaji ndio maana I went for 625 na price yake iko chini, its worth the price
kwenye simu soc inamaanisha mambo haya
-processor bora
-gpu bora
-modem bora (even hio 3g)]
-wifi bora
-camera mechanism bora
-malware wachache
usidharau soc ya simu, ukipata soc bora zaidi ni vyema,
kuhusu kioo zote zina resolution moja inamaana y550 itakuwa na kioo sharp zaidi sababu kioo kidogo na resolution 480p wakati y625 kioo kikubwa na resolution ile ile 480p.
na hii y550 nafkiri zipo dual sim pia
.Hii ni bonge la simu kwa wale wenye budget ya kawaida, bei yake ni 225k ina kioo cha 5 inches ram 1 gb
.
Zinauzwa 116k kaymu kila j5.. Na Tigo shop