msaada:jinsi ya kuextract source codes kutoka katika .exe program file.

kwa anayejua kitu hii anifahamishe tafadhali.

Unajua .exe ni binary code, hutoweza kudecompile ukapata the original source code unless aliyetengeneza software kachanganya na source code kama anaihitaji baadaye labda kwa function kama debugging, na sidhani kuna developer mjinga kiasi hicho coz angeweza kustore source code yake sehemu nyingi tu than to put it out there for the world to see.

Kuna tools unaweza jaribu kudecompile lakini they wont give you the exact source code, utapata code lakini itakua very rough, u wont be able to read it itakupotezea muda tu, the best thing you can do tafuta flowchart ujue steps gani aliyetengeneza kachukua then program it all by yourself.

Find a dissasembler kama unajua assembly language unaweza follow through uka-reverse engineer part ambayo imekushinda ukaiandika mwenyewe. Apart from that aisee sidhani kama utakua successful.

My question though, function gani hiyo imekushida kuandika mwenyewe hadi unataka source code ya mwingine? Au unataka ubadilishe some few stuffs alafu uitoe as your own software kumbe its not??
 
kama unataka mafile yaliyo ndani ya .exe tumia program inaitwa universal extractor yenyewe itakupa vilivyo ndani ya hilo file
 
Unajua .exe ni binary code, hutoweza kudecompile ukapata the original source code unless aliyetengeneza software kachanganya na source code kama anaihitaji baadaye labda kwa function kama debugging, na sidhani kuna developer mjinga kiasi hicho coz angeweza kustore source code yake sehemu nyingi tu than to put it out there for the world to see.

Kuna tools unaweza jaribu kudecompile lakini they wont give you the exact source code, utapata code lakini itakua very rough, u wont be able to read it itakupotezea muda tu, the best thing you can do tafuta flowchart ujue steps gani aliyetengeneza kachukua then program it all by yourself.

Find a dissasembler kama unajua assembly language unaweza follow through uka-reverse engineer part ambayo imekushinda ukaiandika mwenyewe. Apart from that aisee sidhani kama utakua successful.

My question though, function gani hiyo imekushida kuandika mwenyewe hadi unataka source code ya mwingine? Au unataka ubadilishe some few stuffs alafu uitoe as your own software kumbe its not??

Thumb up Mkuu, umejibu vizuri sana
 
Back
Top Bottom