{MFT(Master File Table)kwa NTFS file system} au {FAT(File Allocation Table)kw FAT} itakua imecorrupt,je Ni partition gani ya hiyo Hdd yako inayo leta hiyo tatizo?au ina partition mbayo ndo primary?unaweza fix ilo tatizo kwa Chkdsk command au kwa kuformat hiyo disk kwa cmd sababu formt ya hiyo disk sasa ni RAW so inabidi iconvetiwe kwenye readable format
kama chkdsk command itagoma(inatokaga haifix kitu),,fungua cmd,type 'diskpart' kitapop up kiwindow cha kuomba authorization kubali then cmd itasoma 'DISKPART>' then type in 'list disk',angalia letter ya disk yako ambayo kwenye Status itakua mark kama RAW,kama uioni,type 'list volume',volume (partitions zote za disks zilizomo kwa pc zitakua listed,angalia letter ya volume ya disk yako ambayo kwenye Status itakua mark kama RAW,type 'select volume namba ya iyo volume ilipokua listed'mfano,'select volume 3',kua makini usije type ambayo sio,then type 'clean',then type 'create partition primary',then type 'format',suburi iyo disk yako iwe formated,inachukua muda MFT ndo inakua created from scratch..then tumia data recovery tool kama easeus recovery tool kurecover data zako.ina partition ambayo ndo primary je nikiformat hyo disk sitopoteza data zilizomo??
umesema ni external sio?first jaribu chkdsk command,fungua Comand prompt(cmd),then tpe in "chkdsk /f herufi ya iyo disk,mafano >chkdsk /f c
unaitaiji kurun Command Prompt as Administrator,funugua Start,All Programs,Accessories,then right click cmd kisha 'Run as Administrator'.imekataa imeandika access denied as you do not have sufficient priverage you have to invoke this utility running in elevated mode
kama chkdsk command itagoma(inatokaga haifix kitu),,fungua cmd,type 'diskpart' kitapop up kiwindow cha kuomba authorization kubali then cmd itasoma 'DISKPART>' then type in 'list disk',angalia letter ya disk yako ambayo kwenye Status itakua mark kama RAW,kama uioni,type 'list volume',volume (partitions zote za disks zilizomo kwa pc zitakua listed,angalia letter ya volume ya disk yako ambayo kwenye Status itakua mark kama RAW,type 'select volume namba ya iyo volume ilipokua listed'mfano,'select volume 3',kua makini usije type ambayo sio,then type 'clean',then type 'create partition primary',then type 'format',suburi iyo disk yako iwe formated,inachukua muda MFT ndo inakua created from scratch..then tumia data recovery tool kama easeus recovery tool kurecover data zako.
Ningekuonesha every thing kwa screen shoot but VM Workstation yangu imezngua,So si access na windows right now
umerun cmd as administrator na kujaribu chkdsk command?Hakuna njia nyingine ya ku fix tofauti na ku format maana sasa hvi nipo kijijini kwa bibi internet inasoma Edge hvo sitoweza kupata recovery software yeyote
Out of solutions,nilizo nazo ni hizo mbiliimekataa kabisa ndugu