PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,105
- 14,356
Kwangu hata nikipata hizo 10Gig hazina maana coz maeneo ya kwetu tigo ni konokono.Nashukuru kwa taarifa nimepata 10 GB ngoja nizijaribie kama zinatinga kweli.
Ukiona hvo mkuu unataka kujiunga mara 2
Hapana mkuu sijawah kujiunga mbona,niambie jinsi ya kuchek GB zilizobaki
Ni kweli mkuu ila ni kwa baadhi ya line za hivi karibuni.Acheni Uongo!
Kuna ambaye kabakiwa na zile Gig?
Me nimecheck salio baada ya kupita masaa kadhaa nimekuta hamna kitu, jamaa wamezikomba Gig zao.
Nadhani ilikuwa bugs tu ila wamestukia mapema hata sijafaidi japo robo tu.