MAITAJI:
computer zaidi ya 1, printer moja, switch, utp cable, driver ya printer na power source.
PROCEDURE:
hakikisha computer zote na printer zipo connected kwenye switch na cable zako ulizotumia zipo punched vizuri,
Kazi ni ndogo sana, assign IP address kwenye printer na ikiwezekana label iyo IP juu ya printer kwa karatasi (nakushauri tumia static ip maana pc ni chache), assign ip kwenye computer zote zilizopo kwenye network (hakikisha computer na printer wapo kwenye same network yani network address ni moja).
Baada ya apo install driver za printer kwenye kila pc, ila kila unapofanya installation unaunga printer moja kwa moja kwa kutumia ip ya printer, au unaweza ku add through add devices and printer
Njia nyingi za kusambaza iyo driver, unaweza tumia share group au ukatumia FTP au unaweza kufanya copying and pasting adi umalize mkuu.
Muimu ni same network, driver in each machine, tumia static ip kwa uchache wa machine zako.