Simu inayotumia os mbili

Simu inayotumia os mbili

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
620
Wanatech., ni simu gani inayotumia os mbili tofauti mfano Window & Android kwa wakati mmoja kama ambavyo baadhi ya pc huwa zinakuwa na os mbili ambapo wakati wa kuwasha inakupa option ya kuchagua moja kati ya zile mbili.so kuna simu kama hio? Na kama haipo wameshindwa kitu gani kufanya hivyo?
 
ipo nokia n9 inaboot os zaidi ya mbili, lakini hardware zake sasa hivi ni outdated kidogo
Screen-Shot-2014-06-15-at-11.40.26.jpg

hakuna sababu ya maana hizi simu zisiweze kuwa na os zaidi ya moja sababu hardware za ndani ni zile zile ila tu ni mabifu ya kampuni kama microsoft/google/apple etc.

nakumbuka samsung alitengeneza tablet ya ativ yenye uwezo wa kurun windows na android pamoja ila waliipinga wote microsoft na google hivyo haikutoka hio tablet.

sasa hivi ili upate kifaa kinachorun android na wp utakipata kwa wachina wadogo na process zake si official.

pia kuna custom rom ya windows 10 ambayo unaweza kuflash kwenye simu yako ya android, hii ni official toka kwa microsoft wenyewe na sasa inatestiwa kwenye xiaomi mi4
Windows-10-Xiaomi-Mi4-.jpg
 
maoni yako kwenye sony xperia neo mt15a
 
Back
Top Bottom