Ukiniuliza leo hii ni-invest kwenye nyanja gani ya teknolojia ya komputa hapa bongo nitakuambia kwenye data recovery services. Still hatuna makampuni yanayoeleweka na kuweza kufanya hii kazi kwa...
Wadau nina simu yangu aina ya ZTE nilitumiwa na bro toka Sweden, sasa jana usiku niliiweka kwenye chaji ikiwa ON, kwa bahati mbaya nimeamka asubuhi nikaikuta imezima kabisa, nikajaribu kuiwasha...
Kwanza kabisa ip address ni namba ambazo zinaandikishwa kwa kila kifaa (kama simu/laptop/printer) ambacho kipo kwenye network (kama voda, tigo, local lan, e.t.c), kwa hivyo ip address yako...
KUTENGENEZA VIRUS
Just open your notepad
1) Click start -> all programs -> accessories -> notepad
2) Or just press or click windows key + r :: run window will open and
type notepad and hit enter...
Heshima mbele Jamani naomba msaada crome yangu inasumbua kila page ninayosumbua inajaa hizi Triangle trial ads ambazo zinanifanya nishindwe fanya kazi kwa haraka naombeni msaada wa kuziondoa.
Habari JF,
Nina wazo la ku-design 'transmitter' itakayoweza ku-transmit signals(sauti iliyorekodiwa) kwa umbali wa km5 na kupokewa na 'receivers' amabazo zitakuwa ndani ya umbali huo...
Habari wanajamvi,
Naomba msaada iphone yangu haikubali huduma yoyote mfano kuangalia salio.. kujiunga kifurushi.. mpesa.. tigo pesa.. na nyingne zote znazoishia na # ila inakua inapiga km simu...
Guys i nid ur help to unlock my mentioned above modem..... naomba step by step procedures za kufuata as well as links za kupata hizo softwares za kuiunlock ili niweze kuitoa locked dashboard ya...
Habari wanajamvi naomba msaada iphone yangu haikubali huduma yoyote mfano kuangalia salio.. kujiunga kifurushi.. mpesa.. tigo pesa.. na nyingne zote znazoishia na # ila inakua inapiga km simu ya...
Habary, ambaye anauza memory card ya 8 au 16 GB tutafutatr nahitaji au naomba anielekeze wapi ntanunua kwa bei ya kawaida mi npo dar, naomba mnifahamishe wapi ntaenda kununa kwa hapa far, kam...
Ni muda kidogo tangu play store igome kufanya kaz.... Inaandika tu connection time out. Nikajaribu kudownload mobogenie... Nayo nikatumia siku 2 tu kwa magumashi hali ikawa kama huyo mwenzake...
Habarini wakuu. Natafuta body(circuit body ya CPU ya HP compaq 5850, kwa walio dar naombeni mnisaidie location nipate sehemu wanapouza body za compyuta
Wakuu naombeni msaada wa ku log in JF iPhone na ipad app. Kwenye browser hakuna shida ila kwenye app napata erro message hii:
LOG IN FAILED
The operation couldn't be completed
Tapatalk...
Wapendwa
Kuna rafiki yangu ameniletea simu ya Galaxy note 3 kutoka Dubai (mpya) ila naona ni clone
(zawadi ni zawadi hivyo nimeipokea)
Kimsingi inafanya kazi vizuri kwa kila kitu operation...
Mfano kwenye king'amuzi unatumia cable ya hdmi na laptop pia ina option ya hiyo cable je naweza TV au kuna matumizi tofauti ya hiyo sehemu kwenye laptop?
Mwenye kujua anijuze
Wadau ninashida moja kama kuna mtu anafahamu jinsi ya ku-unlock hii moderm ya vodacom, naombeni basi anijulishe maana nimeshatumia njia nyingi sana na bado sijafanikiiwa, naombeni msaada wenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.