William Ngotti Senior Member Joined Apr 13, 2015 Posts 187 Reaction score 48 Dec 14, 2015 #1 Kuna namna ya kuzuia sms za magroup whatsapp kutoingia whatsapp tofauti na kuleft
franco15 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 518 Reaction score 208 Dec 14, 2015 #2 William Ngotti said: Kuna namna ya kuzuia sms za magroup whatsapp kutoingia whatsapp tofauti na kuleft Click to expand... Zinaweza kuingia kimya kimya, kama grup linaboa husione aibu we jitoe tu
William Ngotti said: Kuna namna ya kuzuia sms za magroup whatsapp kutoingia whatsapp tofauti na kuleft Click to expand... Zinaweza kuingia kimya kimya, kama grup linaboa husione aibu we jitoe tu