Msaada:Nitajiungaje na Vifurushi vya internet vya Halotel?

Msaada:Nitajiungaje na Vifurushi vya internet vya Halotel?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Wadau, habari zenu.
Nimenunua laini ya halotel na ninataka nijiunge na bundle zao
za internet.
Kwa sasa hivi sijui kabisa codes zao za kuomba kujiunga na bundles
za internet.

Naomba mwenye kufahamu codes zao za internet bundles anitupie
hapa. Asante
 
Hiyo hapo kaz kwako
 

Attachments

  • 1450158302601.jpg
    1450158302601.jpg
    81.2 KB · Views: 285
Unafanyaje usajili wa namba? Yule dada aliyeniuzia alifanya lakini naona imedunda hadi leo!
 
Back
Top Bottom