Wakuu hivi ni kweli zinatoa majibu ya ukweli?.Kila nikirudirudia napata matokeo tofauti kwa hiyohiyo moja na nyingine pia.Au zimewekwa kama magemu tu?
Usilie wala usiwe na wasiwasi kwani wanaume wengi siku hizi wamegundua walikuwa wanalea watoto si wao. Mama anakudanganya ni wewe tu hakuna mwingine kumbe mwenzio hataki kuzaa na wewe anaye wake ampendaye, wewe unatunza tu na kuhudumia. Umekuta watoto wangapi feki ambao ulidhani ni wako? Aisee, pole sana ila usiue shemeji.....mwache tu kiustaarab. I promis you n huyo mwanaume aliyemzalisha akigundua huyo demu kaachwa atamtolea nje kwa sababu hataki zigo limuelemee yeye.
Mkuu nimejaribu hizi apps kiukweli zote ni fake hazinaukweli wowote.. dont waste your time
Wakuu hivi ni kweli zinatoa majibu ya ukweli?.Kila nikirudirudia napata matokeo tofauti kwa hiyohiyo moja na nyingine pia.Au zimewekwa kama magemu tu?