Wauza Simu kwa mkopo/credit

Wauza Simu kwa mkopo/credit

mi_mdau

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
1,171
Reaction score
1,765
Habari wadau. Niende straight kwenye point. Niwaulize kama kuna mtu anajua Kampuni yoyote, Duka lolote, au Mtu binafsi yoyote ambaye anauza simu kwa kulipia kidogo kidogo, hasa kwa mwezi au installment ya mwezi au nyingine yoyote kama hiyo.Nchi zilizoendelea kampuni za simu kufanya hivi ni kitu cha kawaida ila kwa huku kwetu nadhani masharti ni magumu sana, ila kama wamebadilika then tunaweza kujulishana.
 
nafkiri mitandao yote ya simu wanafanya ila kwa corporate customers,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom