Nataka kupunguza madishi na ving'amuzi,je ipo teknolojia ya kutumia dish moja na king'amuzi kimoja?,yaani utumie kadi tofauti kama simu,unabadilisha kadi tu.Nipeni elimu wataalam.
Inawezekana tu funga dish kubwa lenye jeki auto ya umeme litakuwa linazunguka kufata mawimbi yalipo shida kubwa ni juwa kila kingamuzi kina uelekeo wake wa mawimbi so hilo dish kazi yake hiyo ila bei yake utajuuutaa kulifahamu

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.